*Sehemu ya kwanza* Chakula cha kuku ni mchanganyiko wa viini lishe mbalimbali na kiini lishe lazima kiwe kwenye kiwango sahihi kulingana na umri wa kuku. Viini lishe anavyohitaji kuku:- ~wanga ~protini ~madini ~mafuta ~Vitamini ~…
🛑vyakula vya kuku huandaliwa kulingana na umri wa kuku, Bata maji ...Bata mzinga n.k 🟠Kuna aina kadha katika uandaaji chakula 🛑Kuku wa mayai _1️⃣Chakula cha kuanzia vifaranga wakiwa siku moja hadi wiki 8 kinaitwa (chic…
🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Yapo mambo muhimu ya kuzingatia siku za mwanzo kwa vifaranga wako ili wakue vyema na kukuletea matokeo chanya. ✔️ Banda liwe Safi na liwe linatosha kwa vifaranga kulingana na square meters pendekezwa. Wasibanan…
*CHAKULA* Kama ilivyo kwa viumbe wengine kuku nao wanahaki ya kupewa chakula bora na chakuwatosha kwa muda wote hii ni hakiyao kisheria ANIMAL WELFARE ACT. Kwa kuzingatia hilo huu ni mwongozo wa ulishaji wa kuku wa *MA…
✓ Mahindi yaliyoparazwa 40kg ✓ Pumba za mtama au mahindi au uwele 24 kg ✓ Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kg ✓ Unga wa mifupa 2 kg ✓ chokaa ya kuku 2 kg ✓ Madini ya (…
WACHA NIKUFUMBUE MACHO KIDOGO Hivi unajua ni kwanini watu husema chakula cha kuchanganya/kutengeneza mwenyewe kina magonjwa mengi??. 👉Sababu ni moja tu..mfugaji anakua hajafanya maandalizi mapema kukabili upungufu wa chakula hal…
ZINGATIA YAFUATAYO PINDI UTUMIAPO FORMULA YOYOTE YA KUCHANGANYIA CHAKULA. Kama ifahamikavyo chakula huchukua karibu 75% ya gharama ya uzalishaji kwa kuku, hivyo wafugaji wengi wamekua wakikimbilia kupata formula ya kuchanganyia c…
UOTESHAJI WA MAJANI HYDROPONICS FODDER Hydroponics ni majani au mboga mboga zinazooteshwa kwa muda mfupi...hapa naongelea majani au nafaka za kulishia mifugo HATUA ZA KUFUATA Unachukua aina yoyote ya nafaka mfano. Mtama, mahindi …
SOMO KUHUSU CHAKULA CHA KUKU. MASH: Chakula cha vumbi vumbi PELLETS: Chakula cha tambi tambi Kama ilivyo zoeleka kwa aina nyingine za mifugo, kuku pia wanatakiwa kupewa chakula sahihi katika umri sahihi ili kuwawezesha kukua vizu…