Showing posts with the label MagonjwaShow All
MAHEPE (MAREK'S DISEASE)

Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambao hushambulia zaidi kuku, bata maji na bata mzinga. Kuku wa mayai  ndio wanaoathirika zaidi. Mara nyingi ugonjwa hutokea katika kuku wenye umri kati ya wiki 12 hadi 24, ijapokuwa hata kuku …

DALILI ZA JUMLA ZA KUKU MGONJWA

🐓🐓🐓🐓🐓 ✔️ Huzubaa  ✔️hujitenga na wenzie  ✔️hujinamia chini muda mwingi  ✔️ hali chakula na kunywa maji vizur  ✔️ Hujikunyata  ✔️Utagaji wa mayai hupungua au kukoma kabisa  ✔️ hutetemeka  ✔️Hutembea kwa shida  ✔️Huhema Kwa sh…

MAFUA MAKALI NA UPUNGUFU WA VITAMIN A

KWA NINI KUKU KUVIMBA MACHO 👉 Kwanza niliamua kuleta mjadala huu, kwa sababu pia nimuhanga ambae wakati naanza kufuga kuku wangu 110 walikufa kutokana na ugonjwa unao wiana na huu na walikua chotara. Dalili 👉Kuku wanaanza kutoa…

TYPHOID /SALMONELOSIS

SALMONELA!!!!Typhoid Leo nizungumzie kuhusu huu ugonjwa sumbufu sana kwa wafugaji wengi na usiokua na huruma kwa wengi. Salmonella/typhoid/homa ya matumbo Huu ni ugonjwa unao wapata kuku wa rika zote kwa nyakati tofauti na umri t…

MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU KWA MUJIBU WA KAHISE GREYSON.

1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine. Andaa vifaa vyote muhimu kwa…

MAGONJWA YA KUKU -MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE)

Ni ugonjwa unaowapata jamii ya ndege ambao unasababishwa na vimelea aina ya  paramyxovirus. Kuenea kwa Ugonjwa Ugonjwa wa Mdondo (Newcastle disease) huenea kupitia njia mbalimbali kama zifuatazo:- Mayai ya kuku aliyeugua ugonjwa …

Load More That is All