Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha. *Hizi ni moja …
1. HAKIKISHA CHAKULA CHA KUKU WAKO KINA MCHANGANYIKO WA VITU HIVI VI 5 ●MADINI👉 Kazi ya madini ambayo ni CALCIUM ni kuimarisha Mifupa, Mfumo wa fahamu, Uzazi, Kutengeneza ganda la yai na Inatumika kulisukuma yai na vyanzo vya …