Showing posts with the label UFUGAJI WA KUKUShow All
MAZINGATIO WAKATI WA UFUGAJI WA KUKU

1. Safirisha chanjo yako kwenye kifaa ambacho kinatunza joto sawia muda wote na kifaa hicho huwa na vipande vya barafu . NB; kuku wanatakiwa wapewe vitamin ( vitalyte au antstress yoyote) siku moja kabla ya chanjo na si…

UTAMBUZI WA KUKU WANAOTAGA NA WASIOTAGA

NIWATAMBUAJE KUKU WASIOTAGA 👈Kwanza kabisa , ni kusudi la kila mfugaji anaejihusisha na ufugaji wa kuku wa mayai, au kienyeji au chotara kupata mayai ndani ya muda kutokana na aina ya kuku anao wafuga. 👈Kwakua inafahamika hivo,…

USUGU WA DAWA KWA KUKU

HELOW WAFUGAJI TWENDE SAMBAMBA HAPA Kunakitu kinaitwa usugu wa madawa kwa mifugo na binadamu kwa kingereza DRUG RESISTANCE Kwa mujibu wa tafiti kadha wa kadha hili tatizo limekua likiongezeka siku kwa siku na inasemekena bidhaa z…

NUKUU ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA CHAKULA

WACHA NIKUFUMBUE MACHO KIDOGO Hivi unajua ni kwanini watu husema chakula cha kuchanganya/kutengeneza mwenyewe kina magonjwa mengi??. 👉Sababu ni moja tu..mfugaji anakua hajafanya maandalizi mapema kukabili upungufu wa chakula hal…

SIFA ZA NYUMBA YA KUKU.

NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa kuishi, na kumkinga dhidi ya …

USHAURI

PITIA HII STORI PENGINE ITAKUFAA. 👆Mimi na rafiki yangu mzuri na wa karibu sana, ambae tulianza wote Shule ya msingi, tulicheza mpira wote na siri zetu nyingi za utotoni (kwa kifupi alikua rafiki yangu mkubwa sana ) 👆Tuliondoka…

UMUHIMU WA VITAMINI KWA KUKU

JE UNAJUA UMUHIMU WA VITAMIN KWA KUKU UKOSEFU wa VITAMIN kwa Kuku au Upungufu wa VITAMIN hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin. 📌 UMUHIMU WA VITAMINI. - Husaidia katika u…

HATUA ZA KUFUATA KUANZISHA MRADI WA KUKU

HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU. 👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi end…

JINSI YA KUTENGENEZA SEHEMU YA KULELEA VIFARANGA/ BROODER

MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder ( kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana , na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga  SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo 👉Maji 👉Cha…

NINI UFANYE KWA KUKU WA MAYAI WAKATI WA BARIDI

MREJESHO WA UTAFITI NA KUJUMLISHA KNOWLEDGE NILIYONAYO 👆Nimepokea report nyingi sana za kuku kushusha utagaji kwa kiwango kikubwa msimu huu (wanaotumia vyakula vya viwandani ,pia wanaojitengenezea ) nafikiri ni baridi imesabanis…

MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI

MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI. 👉Kuku wa mayai, hawa ni kuku ambao vinasaba vyao huwawezesha kutaga mayai mengi kwa muda watakao fugwa Zipo aina nyingi za kuku wa mayai hapa nitataja baadhi 👆Hy-line, Isa brown, Bavon brown, Lohman b…

UTOTOLESHAJI WA MAYAI NA KUHIFADHI

👉👈Mayai ya kuku huanguliwa kwa siku 21, ila zoezi la mayai kuanguliwa huanza mapema siku ya 18-21, na mayai yakizidi siku 21 Mara nyingi huwa yameharibika. 👉Uatamiaji wa asili na utotoleshaji vifaranga: Mayai kwa ajili ya kuat…

UFUGAJI WA BROILERS/ KUKU WA NYAMA

MWONGOZO WA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA/BROILERS Biashara ya kuku imejikita katika uwanja mpana sana kwa kutegemea aina za kuku, kwa maeneo mengi ya mjini Kuku wa nyama wamekua wakiuzika sana Japo kwa bei isiyo rafiki kwa mfugaji 👉…

KUDONOANA NA KULA MAYAI

MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa kuku wa mayai Ta…

MAONO YAHUSUYO UFUGAJI

WAZO LANGU SIKU ZA USONI INASIKISHA!INAHUZUNISHA!!KUONA Makampuni yanashusha bei za vifaranga,,,vyakula vinapanda bei,,,lakini kuku wanashuka bei bandani na sokoni kila siku,,,,wakati mlaji wa mwisho amekua akiuziwa kuku kwa bei …

MAFUA MAKALI NA UPUNGUFU WA VITAMIN A

KWA NINI KUKU KUVIMBA MACHO 👉 Kwanza niliamua kuleta mjadala huu, kwa sababu pia nimuhanga ambae wakati naanza kufuga kuku wangu 110 walikufa kutokana na ugonjwa unao wiana na huu na walikua chotara. Dalili 👉Kuku wanaanza kutoa…

USHAURI MURUA

_Heloow habarini za muda huu ndugu wafugaji Kutambua kama mradi umekupa faida au hasara haikwepeki kuweka kumbukumbu Nimejaribu kufanya uchunguzi kwa wafugaji kadha wa kadha kuhusu uwekaji wa kumbukumbu wa garama za matunzo ya ku…

MAELEKEZO MUHIMU SANA

MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI  ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji …

ZINGATIA YAFUATAYO KULEA VIFARANGA

MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja ya sehemu muhimu ya  kuzingatia sana kwaajili ya kuku wenye ukuaji mzuri na uwezo mzuri wa kutaga. SIFA ZA KIFARANGA BORA ==Kifara…

KUKU KULEMAA MIGUU, KUSHINDWA KUSIMAMA

KUKU KULEMAA MIGUU, KUSHINDWA KUSIMAMA Hii ni moja ya changamoto kubwa ambayo imekua ikijitokeza kwa wafugaji wengi, wadogo, wakati na wakubwa. Na matatizo haya yamekua yakitofautiana kujitokeza kulingana na umri wa kuku husika. …

Load More That is All