NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa kuishi, na kumkinga dhidi ya …
NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa kuishi, na kumkinga dhidi ya …
ZINGATIA YAFUATAYO KWA UFUGAJI SAHIHI. Kama mtaalamu nimeona vema nikuletee mwongozo au utaratibu ambao utakupatia matokeo sahihi wakati unafuga kuku. Yafuatayo yanapaswa kufanyika kwa mujibu wa ushauri ninaotoa, kama kuna mtaal…
1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine. Andaa vifaa vyote muhimu kwa…
MATUNZO YA RANDA Kwetu Tanzania zipo aina kubwa mbili za randa au matandazo ya kuku ambazo zimekua zikitumika Randa za mbao Pumba za mpunga. Kwa kuku wa umri wowote (kifaranga na wakubwa) ni muhimu sana kuwawekea randa Kwanini u…
*Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo. *Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves ta…
mwandishi: Greyson kahise...mtaalamu wa ufugaji wa kuku. Kuku ni viumbe ambao wanahitaji matunzo mazuri ili waweze kuzalisha mayai au kukua vizuri YAFUATAYO YANATAKIWA KUZINGATIWA WAKATI WA MAANDALIZI YA BANDA ==Banda zuri la …