Showing posts with the label kukuShow All
Faida za ufugaji wa kuku

Ndiyo, ufigaji wa kuku una faida nyingi, na ni moja ya shughuli maarufu za kilimo kote duniani. Faida za ufigaji wa kuku ni pamoja na: 1. **Chanzo cha Mapato**: Kuku hutoa mayai na nyama, ambayo yanaweza kuuzwa na kuingiza mapato…

Umuhimu wa usafi wa mabanda ya kuku

Usafi wa mabanda ya kuku ni muhimu sana kwa afya na ustawi wa kuku. Hapa ni baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu sana: 1. Kuzuia Magonjwa Kupunguza Hatari ya Maambukizi : Mazingira ya safi husaidia kupunguza hatari ya maambukizi …

Magonjwa Yanayosumbua Sana Kuku: Dalili, Chanzo, na Njia za Kudhibiti

Magonjwa yanayosumbua kuku ni mengi, lakini hapa nitakueleza kuhusu dalili, chanzo, na njia za kudhibiti magonjwa kadhaa yanayowakumba kuku mara kwa mara: 1. Gonjwa la Newcastle (Newcastle Disease) Dalili : Kukojoa damu, kifua k…

🐔KUCHAGUA MATETEA YANAYOWEZA KUATAMIA MAYAI

Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. 🐓UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA:  👉…

MAHEPE (MAREK'S DISEASE)

Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambao hushambulia zaidi kuku, bata maji na bata mzinga. Kuku wa mayai  ndio wanaoathirika zaidi. Mara nyingi ugonjwa hutokea katika kuku wenye umri kati ya wiki 12 hadi 24, ijapokuwa hata kuku …

ZINGATIA MAMBO HAYA KATIKA UFUGAJI WA KUKU

Imeandikwa na   *Greyson Kahise*  Mtaalamu wa kuku 0769799728 0715894582 ☝️Leo naomba tuangazie mambo kadhaa ambayo wafugaji wengi wamekua wakifanya Pasipo usahihi, ama baada ya kuona madhara ya kuku Kufa n.k  *Moja* : *KUKATA MI…

SABABU 10 ZA KUKU KUPUNGUZA UTAGAJI MAYAI NA NINI UFANYE KUONGEZA UZALISHAJI WA MAYAI

Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha …

FAHAMU KUHUSU CHAKULA CHA KUKU

*Sehemu ya kwanza* Chakula cha kuku ni mchanganyiko wa viini lishe mbalimbali na kiini lishe lazima kiwe kwenye kiwango sahihi kulingana na umri wa kuku. Viini lishe anavyohitaji kuku:- ~wanga ~protini ~madini ~mafuta ~Vitamini ~…

Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana

Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha. *Hizi ni moja …

HATUA KWA HATUA JINSI YA KULEA VIFARANGA

Andaa banda lako liwe safi na lililo puliziwa dawa ya kuuwa wadudu na bacteria mfano V-rid au TH4 zoezo hili lifanyike mapema week 2 kabla ya kuleta vifaranga mlangoni weka maji ya kukanyaga yenye dawa ya farm guard  Andaa sehemu…

AZOLLA MKOMBOZI KWA WAJASIRIAMALI WA MIFUGO

Ndugu Mjasiriamali Mfugaji / mkulima popote pale ulipo, jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha mifugo mbalimbali na matumizi mengine pia. Kwa maeneo mengi sana hapa nchini imekuwa changamoto hupatikanaji pa…

NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU

🛑vyakula vya kuku  huandaliwa kulingana na umri wa kuku, Bata maji ...Bata mzinga n.k 🟠Kuna aina kadha katika uandaaji chakula 🛑Kuku wa mayai _1️⃣Chakula cha kuanzia vifaranga wakiwa siku moja hadi wiki 8        kinaitwa (chic…

UTENGENEZAJI WA FUNZA - CHAKULA CHA KUKU

Moja ya virutubisho muhimu vya kuku ni protini ambayo unaweza kuwapa kupitia vyakula mbalimbali.  Funza ni wadudu walio na protini nyingi ambayo inahitajika sana kwa ajili ya ukuaji wa kuku. Zipo njia mbalimbali ambaz…

HIZI NDIZO DAWA ZA ASILI KWA KUKU

Madawa ya Asili yatokanayo na Mimea yanayosaidia katika Tiba na Kinga za Maradhi mbalimbali ya Kuku . Sehemu za mimea zinaweza kuwa: Majani, Magome, Mbegu, Maua au Matunda .  Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea:  • Hupat…

DALILI ZA JUMLA ZA KUKU MGONJWA

🐓🐓🐓🐓🐓 ✔️ Huzubaa  ✔️hujitenga na wenzie  ✔️hujinamia chini muda mwingi  ✔️ hali chakula na kunywa maji vizur  ✔️ Hujikunyata  ✔️Utagaji wa mayai hupungua au kukoma kabisa  ✔️ hutetemeka  ✔️Hutembea kwa shida  ✔️Huhema Kwa sh…

Load More That is All