Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. 🐓UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA: 👉…
NIWATAMBUAJE KUKU WASIOTAGA 👈Kwanza kabisa , ni kusudi la kila mfugaji anaejihusisha na ufugaji wa kuku wa mayai, au kienyeji au chotara kupata mayai ndani ya muda kutokana na aina ya kuku anao wafuga. 👈Kwakua inafahamika hivo,…
MREJESHO WA UTAFITI NA KUJUMLISHA KNOWLEDGE NILIYONAYO 👆Nimepokea report nyingi sana za kuku kushusha utagaji kwa kiwango kikubwa msimu huu (wanaotumia vyakula vya viwandani ,pia wanaojitengenezea ) nafikiri ni baridi imesabanis…
👉👈Mayai ya kuku huanguliwa kwa siku 21, ila zoezi la mayai kuanguliwa huanza mapema siku ya 18-21, na mayai yakizidi siku 21 Mara nyingi huwa yameharibika. 👉Uatamiaji wa asili na utotoleshaji vifaranga: Mayai kwa ajili ya kuat…
KUKU WA MAYAI KWA KIFUPI Hawa ni kuku ambao vinasaba vyao huwawezesha kutaga mayai mengi kwa muda watakao fugwa Zipo aina nyingi za kuku wa mayai hapa nitataja baadhi Hy-line, Isa brown, Bavon brown, Lohman brown, Rhode Island n.…
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga akifikisha mayai matatu mfugaji ana…