Andaa banda lako liwe safi na lililo puliziwa dawa ya kuuwa wadudu na bacteria mfano V-rid au TH4 zoezo hili lifanyike mapema week 2 kabla ya kuleta vifaranga mlangoni weka maji ya kukanyaga yenye dawa ya farm guard Andaa sehemu…
🛑vyakula vya kuku huandaliwa kulingana na umri wa kuku, Bata maji ...Bata mzinga n.k 🟠Kuna aina kadha katika uandaaji chakula 🛑Kuku wa mayai _1️⃣Chakula cha kuanzia vifaranga wakiwa siku moja hadi wiki 8 kinaitwa (chic…
🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Yapo mambo muhimu ya kuzingatia siku za mwanzo kwa vifaranga wako ili wakue vyema na kukuletea matokeo chanya. ✔️ Banda liwe Safi na liwe linatosha kwa vifaranga kulingana na square meters pendekezwa. Wasibanan…
*Swali* : *Unaposema utunzaji wa vifaranga unamaanisha nini.* *Jibu* : Ni hatua inayofuata baada ya yai kutotolewa , na Uleaji wa vifaranga ni jumla ya mambo yote yanayofanyika kwaajili ya kuhakikisha kifaranga anakua vema h…
MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder ( kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana , na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo 👉Maji 👉Cha…
MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji …
MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja ya sehemu muhimu ya kuzingatia sana kwaajili ya kuku wenye ukuaji mzuri na uwezo mzuri wa kutaga. SIFA ZA KIFARANGA BORA ==Kifara…
KUKU KULEMAA MIGUU, KUSHINDWA KUSIMAMA Hii ni moja ya changamoto kubwa ambayo imekua ikijitokeza kwa wafugaji wengi, wadogo, wakati na wakubwa. Na matatizo haya yamekua yakitofautiana kujitokeza kulingana na umri wa kuku husika. …
Mayai ya kuku huanguliwa kwa siku 21 kabla ya vifaranga kutotlewa ilhali bata hutotoa baada ya siku 28 Uatamiaji wa asili na utotoleshaji vifaranga: Mayai kwa ajili ya kuatamiwa ni lazima yawe mapya; 1) Umri wa mayai baada…
Karibu ndugu mfugaji tuendelee pale tulipo ishia hii ni sehemu ya 2maandalizi ya kupokea Vifaranga. Maandalizi kabla ya kupokea vifaranga : Inashauriwa vifaranga walelewe katika chumba maalum hadi umri wa majuma manne. Chumba ki…
SOMO:KULEA VIFARANGA SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa ku…