🛑vyakula vya kuku  huandaliwa kulingana na umri wa kuku, Bata maji ...Bata mzinga n.k


🟠Kuna aina kadha katika uandaaji chakula


🛑Kuku wa mayai


_1️⃣Chakula cha kuanzia vifaranga wakiwa siku moja hadi wiki 8        kinaitwa (chick starter / chick mash)_

   *Mchanganyiko wake*

🔹Paraza 30kg  
🔹pumba 10kg 
🔹mashudu 15kg 
🔹dagaa 15kg 
 ðŸ”¹soya 15kg
 ðŸ”¹Mifupa 10kg
🔹Chumvi 0.5kg
🔹Amino acids 2kg
🔹Toxic binder or ridocox 2kg
🔹Layers premix 1.5kg

+vitamin 2% 
*Amilitotal*




_2️⃣Chakula cha kukuzia kuku kuanzia wiki ya 9  hadi wiki 16(Grower mash)_


*Mchanganyiko wake*

🔹Paraza 38kg 
🔹pumba 15kg    
🔹mashudu 15kg
🔹Dagaa 9kg
 ðŸ”¹uduvi 1kg
 ðŸ”¹soya 9kg
 ðŸ”¹Mifupa 5kg
 ðŸ”¹chokaa 4kg
 ðŸ”¹Dcp 1.5kg
 ðŸ”¹chumvi 0.5
 ðŸ”¹Amino acids 0.5kg
 ðŸ”¹Vigostrart or ridocox 2kg
+
Vitamin 3%
Multvitamin

 _3️⃣Chakula cha mwisho wakiwa wakubwa sasa wanaelekea kutaga au wakiwa wanataga kuanzia wiki 17+--- kuendelea kinaitwa (layers finisher mash)_


*Mchanganyiko wake*

🔹Paraza 35kg
 ðŸ”¹pumba 10kg
 ðŸ”¹dagaa 12kg
 ðŸ”¹soya 15kg
🔹Uduvi 1kg
🔹Mashudu  15kg
🔹mifupa 6kg
🔹DCP 2kg
🔹chokaa  3kg
 ðŸ”¹chumvi 0.5kg
🔹layers premix 2kg
🔹 amino acids 1kg
🔹Toxic binder  au Ridocox 2kg 

+

VITAMIN 6%  -Egg booster 
                 -Lay vita 


*🛑Kuku wa nyama*

_Kwa upande wa broilers hupewa aina mbili vyakula unapoandaa broiler starter na broiler finisher_



_1️⃣ Broiler starter hiki ni chakula Cha kuanzia wakiwa siku 1 hadi siku 30_

 ðŸ”¹Protini 23-25 kg
🔹lipids 15kg
🔹Wanga 45kg
🔹Madini 12kg


*Mchanganyiko wake*

 ðŸ”¹Paraza 33kg
  🔹pumba 10kg 
 ðŸ”¹mashudu 15kg  
🔹dagaa 15kg 
 ðŸ”¹soya 15kg 
🔹mifupa 10kg  
🔹broiler premix 130g ...
 ðŸ”¹amino acids 150g...
 ðŸ”¹Chumvi 0.5kg
  🔹Vigostrart or ridocox 2kg 
+

VITAMIN 5% ni Muhimu sana.


2️⃣Broiler finisher hiki ni chakula Cha kumalizia kuanzia wiki ya 5 hadi 8 lazima uwatoe.


*🟠 Mchanganyiko wake*

    🔹Paraza 39kg
    🔹soya 15kg
    🔹dagaa 10kg
    🔹Mashudu 20kg
    🔹Mifupa 8kg
    🔹chokaa 4kg
    🔹Dcp 1kg
   ðŸ”¹chumvi 0.5kg
   ðŸ”¹Amino acids 
          -lysine 0.35kg-      methionine  0.35kg
     ðŸ”¹Broiler premix 2kg 
      🔹Ridocox 2kg

VITAMIN 5% Mfano broiler booster...growth promoter n.k