HELOW WAFUGAJI TWENDE SAMBAMBA HAPA Kunakitu kinaitwa usugu wa madawa kwa mifugo na binadamu kwa kingereza DRUG RESISTANCE Kwa mujibu wa tafiti kadha wa kadha hili tatizo limekua likiongezeka siku kwa siku na inasemekena bidhaa z…
JE UNAJUA UMUHIMU WA VITAMIN KWA KUKU UKOSEFU wa VITAMIN kwa Kuku au Upungufu wa VITAMIN hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin. 📌 UMUHIMU WA VITAMINI. - Husaidia katika u…
MAGONJWA MAKUU YA KUKU, DALILI, NA TIBA ZAKE _Note_ Katika dalili za magonjwa nitakayowaandikieni kitaalamu huwa Kuna dalili kuu na zisizo kuu, dalili kuu maana yake ni dalili ambayo ukiiona inakupa ukweli halisi kuwa huu ni ugon…
FOWL POX DISEASE/NDUI Huu ni miongoni mwa magonjwa ya virusi ambayo yamekua yakishambulia kuku kwa aslilimia kubwa. Chanzo 👉Ugonjwa huu husababishwa na virusi, Fowl Pox Virus Virusi hawa huwapata kuku wa rika zote, wakubwa na w…
MAKALA KUHUSU DAWA KWA KUKU. Leo ni vema kidogo tuelezane kuhusu matumizi ya dawa kwa very good but kuku...hasa Hb kuhusu namna sahihi ya matumizi ya dawa na jinsi ya kuzitumia Kitu cha kwanza ieleweke kwamba dawa sio kinga ila n…
1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine. Andaa vifaa vyote muhimu kwa…
MAKALA JUU YA CHANJO ZA KUKU WA AINA ZOTE. Kuna aina tofauti za magonjwa kama MAGONJWA YA VIRUSI MAGONJWA YA BAKTERIA NA MAGONJWA YA KUPE/VIROBOTO/MINYOO. MAGONJWA YA VIRUSI KWA KUKU NI KAMA IBDauGUMBORO MAREX INFECTIOUS CORTYZA/…