Faida za ufugaji wa kuku

Ndiyo, ufigaji wa kuku una faida nyingi, na ni moja ya shughuli maarufu za kilimo kote duniani. Faida za ufigaji wa kuku ni pamoja na: 1. **Chanzo cha Mapato**: Kuku hutoa mayai na nyama, ambayo yanaweza kuuzwa na kuingiza mapato…

Faida za Chanjo kwa Wafugaji: Kuzuia Magonjwa na Kuimarisha Uzalishaji wa Wanyama

Chanjo kwa wafugaji ni muhimu sana kwa ajili ya kuimarisha afya na uzalishaji wa wanyama. Hapa kuna faida kuu za chanjo katika mifugo: Kuzuia Magonjwa: Chanjo husaidia kuzuia magonjwa hatari kama vile homa ya mifugo, maambukizi …

Umuhimu wa usafi wa mabanda ya kuku

Usafi wa mabanda ya kuku ni muhimu sana kwa afya na ustawi wa kuku. Hapa ni baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu sana: 1. Kuzuia Magonjwa Kupunguza Hatari ya Maambukizi : Mazingira ya safi husaidia kupunguza hatari ya maambukizi …

Magonjwa Yanayosumbua Sana Kuku: Dalili, Chanzo, na Njia za Kudhibiti

Magonjwa yanayosumbua kuku ni mengi, lakini hapa nitakueleza kuhusu dalili, chanzo, na njia za kudhibiti magonjwa kadhaa yanayowakumba kuku mara kwa mara: 1. Gonjwa la Newcastle (Newcastle Disease) Dalili : Kukojoa damu, kifua k…

MAHITAJI YA LAZIMA YA KUFUGA KUKU WA NYAMA

Limeandaliwa na   *Greyson Kahise*  Mtaalamu wa kuku 0769799728  *0715894582* 👉Nimekua nikiulizwa maswali mengi Sana juu ya nini kinahitajika ili kufanikiwa kufuga kuku wa nyama, Hapa nitaainisha baadhi muhimu Tu. 👆 *Moja* *BAN…

🐔KUCHAGUA MATETEA YANAYOWEZA KUATAMIA MAYAI

Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. 🐓UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA:  👉…

MAHEPE (MAREK'S DISEASE)

Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambao hushambulia zaidi kuku, bata maji na bata mzinga. Kuku wa mayai  ndio wanaoathirika zaidi. Mara nyingi ugonjwa hutokea katika kuku wenye umri kati ya wiki 12 hadi 24, ijapokuwa hata kuku …

ZINGATIA MAMBO HAYA KATIKA UFUGAJI WA KUKU

Imeandikwa na   *Greyson Kahise*  Mtaalamu wa kuku 0769799728 0715894582 ☝️Leo naomba tuangazie mambo kadhaa ambayo wafugaji wengi wamekua wakifanya Pasipo usahihi, ama baada ya kuona madhara ya kuku Kufa n.k  *Moja* : *KUKATA MI…

SABABU 10 ZA KUKU KUPUNGUZA UTAGAJI MAYAI NA NINI UFANYE KUONGEZA UZALISHAJI WA MAYAI

Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha …

CHANGAMOTO KUU ZA MRADI WA KUKU NA NAMNA YA KUZITATUA

Imeandaliwa na   *Greyson Kahise*   *Mtaalamu wa kuku*   *_0769799728_*   *_0715894582_* 🖊️ *KNOWLEDGE/UELEWA/TAALUMA* ☝️Mradi wowote unapo anzishwa unahitaji Utaalamu halisi kuhusu mradi husika,, unaweza ukawa na Mtaji ukapotea…

ABC ZA MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU

👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio Chaguo ni Lazima Kwa usalama wa KUKU wako 👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku  *HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO …

UGONJWA WA NDUI YA KUKU (FOWL POX)

Ugonjwa wa ndui ya kuku mara nyingi huwashambulia kuku wadogo na wakubwa. pia tafiti mbalimbali za masuala ya ufugaji zimebaini ya kwamba ugonjwa huu husababishwa na virusi.  Jinsi unavyoambukizwa:  1. Ugonjwa huu huambukizwa kwa…

FAHAMU KUHUSU CHAKULA CHA KUKU

*Sehemu ya kwanza* Chakula cha kuku ni mchanganyiko wa viini lishe mbalimbali na kiini lishe lazima kiwe kwenye kiwango sahihi kulingana na umri wa kuku. Viini lishe anavyohitaji kuku:- ~wanga ~protini ~madini ~mafuta ~Vitamini ~…

JINSI YA KUCHAGUA MAYAI BORA KABISA KWA AJILI YA KUTOTOLESHA ILI UPATE UHAKIKA WA VIFARANGA

🐓Sifa ya Yai Lenye sifa ya kutotolewa. 1. Hakikisha kuku wamepandwa vizuri na jogoo na hii ni Kwa kuzimgatia uwiano (ratio) nzuri ya majike na Majogoo. 2. Zingatia Yai Lisiwe na Nyufa au michirizi ya damu. 3. Zingatia Yai Lisiwe…

JE UNAJUA UMUHIMU WA VITAMIN KWA KUKU🐓?

UKOSEFU wa VITAMIN kwa Kuku au Upungufu wa VITAMIN hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin.  📌 UMUHIMU WA VITAMINI. - Husaidia katika ukuaji wa kuku. - Humfanya kuku muda w…

Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana

Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha. *Hizi ni moja …

Load More That is All