1. Clorofenico/ flagine +vitamini B: kutibu kuhara kijani na Njano. Kuku anayetanga asipewe flagine ataharibu mayai yaliopo tumboni, apewe Clorofenico. (kuku mkubwa kidonge kimoja, size ya kati nusu na mdogo robo kidonge). Pia ni chanjo nzuri ya kideri kuwapa kuku kwenye maji Kwa siku tatu kila baada ya miezi mitatu. Kuhara Nyeupe pia inatibiwa na dawa hii.
2. Cipro + vitamin B: ni dawa ya kideri utachanganya kwenye maji unawapa kuku. Kuhara Nyeupe au kahawia au damu pia inatibiwa na dawa hii.
3. Albendazo + vitamins B: minyoo au kuku wakiwa wanazinzia saga dawa weka kwenye maji ya kunywa.
4. Pen V + vitamins B: vidonda kwenye macho au kuvimba macho au kidonda chochote kwenye mwili wa kuku.
NOTE:hizi dawa tumia endapo umekosa dawa halisi za mifugo
0 Comments