CHANJO NA JINSI YA KUCHANJA ~ Mpela Access Tz1

 

1:Chanjo inatakiwa kutolewa wakati sio wa joto kali hvyo mda mzuri ni Asbh saa12-1 na jioni kuanzia saa11-12 jioni

 

 2:Chanjo nyingi za kuku hutumika kwa masaa2 tu isizdi zaid yahapo

 

3:Chanjo inatakiwa isizid kukaa ktk Nyuz joto 8°c

 

4:Chanjo yapaswa isikutane na miale ya Jua wakati inatumika

 

5:Chanjo yapaswa kutolewa kwa kuku aliemzima wa afya njema,Usimpe kuku mgojwa chanjo

 

6:Chanjo yatakiwa kutolewa na mtalaam wa mifugo(Dr special of animal)

 

7:Chanjo yayakiwa kufunguliwa ndani ya maji kuimalisha ubora wake zaidi

 

8:Chanjo za maji unapowapa vifaranga jitahid Kutomwagika Bandani

 

9:Chanjo ikifunguliwa na kutumika hairudiwi tena inakua imeisha kazi yake

 

10:Chanjo Kabla hujaichukua dukani soma maelekezo yake yote kwa kina.