Hizi ni mbegu asili ambazo hupatikana sehemu husika na maisha yao ni ya kawaida

*ULISHAJI CHAKULA*

Hutegemeana na jinsi ulivo wafuga ikiwa unawafuga ndani kisasa zaidi huhitaji chakula maalumu chenye virutubisho vyote ....

Ikiwa unawafuga nusu ndani nusu nje maana yake wanga utazidi sana vyakula vingine kidogo sababu rahisi kujipatia nje vitamin ...protini ...madin n.k lakini hutegemea eneo la nje linaukubwa gani au uko wapi 

Mjini maeneo hayakizi sana kuku wa KIENYEJI kujitawala tofauti na vijijini kuku wanafika mbali kutafuta liziki na kurudi tena wakiwa na shibe nzuri na Bora 

Ikiwa uko sehemu ya wazi Kama pembeni mwa mji au kijijin usitumie lishe ila hakikisha shibe ndogo ya ziada na vyakula baadhi kwa mbali 

*KIENYEJI WANAFUGWA KISASA*

🟠Namna ya kuandaa chakula

  Paraza 36kg
  Pumba mahindi 21kg
  Uduvi 3kg
  Soya 10kg
   Mashudu 15kg
   Mifupa 10kg
   DCP 2kg 
   Chumvi 0.5 kg
   Layers premix 0.5kg 
   Vigostrart 1kg
  Amino acids 1kg


➕ VITAMIN 5% 

vitamin za viwandan na mboga mboga yaani mboga majani